Analyse @jokateM's tweets
@jokateM
| 1,155,608 followers
Moja kati ya majengo 15 ya shule tuliyoyajenga kati ya mwezi wa kumi na moja mwaka jana na sasa. Pamoja na changamoto kubwa ya mvua. Tumefanikiwa. Majengo yote yana marumaru/tiles na madirisha ya aluminium na ubora umezingatiwa. Tumeweka na vimbweta ? #TokomezaZeroKisarawe https://t.co/WcCTaR2LC5