Analyse @Dexter_insure's tweets
@Dexter_insure
| 305 followers
#TIRAMIS ni nn?
Hii ni System ya Kuhakiki Bima Feki na Bima Hai, Ilizinduliwa na Mamlaka ya Bima (TIRA) ambayo inakusaidia kuhakiki uhai wa Bima yako, Aina na kiasi chake.
Hakikisha pale unapolipia Bima, Gari yako inawekwa kwenye system mda huo huo.
#ElimikaWikiendi #Elimubima https://t.co/GPFHxUVpLM