Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Wiki hii tuliadhimisha Siku ya Hedhi Salama. Ni muhimu kutambua kuwa, hedhi haisimami wakati wa magonjwa ya mlipuko!#COVID19 imekuja na changamoto mpya kwa wasichana. #ItsTimeForAction kuhakikisha kuwa wasichana wanapata maji safi shuleni ili kumudu hedhi kiusafi|#ElimikaWikiendi https://t.co/KsoEGqvumL