Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Haki ya dhamana imekuwa ikiathiriwa na mtaukio ya ukamataji na uwekaji wa watu kizuizini kinyume na sheria. Mwaka 2019, LHRC ilikusanya matukio 17 ikiwemo ukamataji na uwekaji kizuizini wa Tito Magoti na Theodory Giyani.
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/AroHNkaIxF
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/AroHNkaIxF