Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Haki ya Dhamana inaathiriwa na Uendeshaji wa mashitaka kabla ya uchunguzi kukamilka. Hii humfanya mtuhumiwa kuendelea kuteseka mahabusu au gerezani kinyume na kanuni ya kutendewa kama mtu asiye na hatia mpaka itakapothibitishwa na mahakama.
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/yRzRZipoFT
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/yRzRZipoFT