Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
LHRC tunaunga mkono pendekezo la Jaji Mkuu la Makosa yote kuwa na dhamana kwani kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kudai kusingiziwa makosa na kushikiliwa kwa muda mrefu bila kupata haki ya dhamana.
#ElimikaWikiendi #UtawaWaSheria https://t.co/HMCOYLxlp1
#ElimikaWikiendi #UtawaWaSheria https://t.co/HMCOYLxlp1