Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Kuhusu matatizo ya kawaida yanayowapata wanawake wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua, Shirika la Afya Duniani liligundua kwamba wanawake walioenda kliniki mara 4 tu wakati wa ujauzito walipata matokeo yale yale kama walioenda kliniki mara 12 au zaidi. #ElimikaWikiendi https://t.co/Io3DtiS8OH