Analyse @TumainiMakole's tweets
@TumainiMakole
| 13,103 followers
FOLIC ACID – Ni muhimu kwa ajili ya ukuaji mzuri wa ubongo na uti wa mgongo wa mtoto. Inashauri mwanamke anayetarajiwa kushika ujauzito kuanza kumeza (kutumia) vidonge hivi angalau mwezi mmoja kabla ya kushika ujauzito.
#ElimikaWikiendi | @ElimikaWikiendi https://t.co/WwCIZ56qsf
#ElimikaWikiendi | @ElimikaWikiendi https://t.co/WwCIZ56qsf