Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
“Eneo la Ikulu ya Dodoma lina zaidi ya hekari 8470 ambapo limezungushiwa ukuta wenye KM 27, kwa ukubwa wa eneo hili sina uhakika kama kuna Ikulu kubwa kuizidi hii Duniani, tumejenga BarabaraIkulu, moja itakuwa na njia 4, tumejenga nyumba ya makazi ya Rais”-JPM
#MillardAyoUPDATES https://t.co/DgyL9sQ54A
#MillardAyoUPDATES https://t.co/DgyL9sQ54A