Analyse @GillsaInt's tweets
@GillsaInt
| 164,120 followers
Je, Wajua Instagram imeweka limit ya activity ambazo unatakiwa kufanya kwa siku mfano hutakiwi kufollow zaidi ya watu 7-13 ndani ya lisaa. Unatakiwa kufollow watu kati ya 100-150 au like 300-400, n.k. kwa siku. Ukizidisha wanakufungia account yako kwa muda. #ElimikaWikiendi https://t.co/t3gJX5ZuXG