Analyse @LazaroNyalandu's tweets
@LazaroNyalandu
| 579,480 followers
Alert: Gari yeny usajili wa @Tigo_GT #T562 DRS lilipakiwa ndani ya entrance gate ya nyumbani kwangu na wahusika wakaliacha na kuondoka mapema asbh ya leo. @tanpol kupitia OCD wa Arusha wanakuja kuchunguza mkasa huu na majirani wamejitolea kutoa ulinzi wakati tunajua kilichojiri https://t.co/Ydls5L6Ixj