Analyse @tonyalfredk's tweets
@tonyalfredk
| 28,341 followers
Inasikitisha maana hawa wadau wote waliokua wakitoa elimu bure Youtube, kwasasa hawataweza mpaka wailipe serikali laki 6 kwaajili ya leseni, na pia watafute tin no na sajili zingine za kitaasisi au kampuni.
Wakiendelea kutoa elimu, wanaweza kufungwa au kutakiwa kulipa faini 5M. https://t.co/tGefDqyVgw
Wakiendelea kutoa elimu, wanaweza kufungwa au kutakiwa kulipa faini 5M. https://t.co/tGefDqyVgw