Analyse @earadiofm's tweets
@earadiofm
| 1,227,363 followers
#HABARI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais @SuluhuSamia ,Katibu Mkuu wa @ccm_tanzania Dkt Bashiru Ally pamoja na wanachama wengine tayari wamekwishawasili katika Ofisi za NEC Jijini Dodoma na sasa wanamngoja Rais @MagufuliJP kwa ajili ya kuchukua fomu. https://t.co/BrmZvHdpp0