Analyse @MtanzaniaNews's tweets
@MtanzaniaNews
| 215,082 followers
Rais @MagufuliJP leo Alhamisi Agosti 06, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili kupitia tiketi @ccm_tanzania katika Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaliyopo Njedengwa jijini Dodoma. #MtanzaniaDigital https://t.co/TLN5L7ZyJG