Analyse @ccm_tanzania's tweets
@ccm_tanzania
| 845,246 followers
Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Chama Cha Mapinduzi Ndg @MagufuliJP akiambatana na Mgombea mwenza Ndg @SuluhuSamia achukua fomu ya kugombea Urais katika ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa Jijini Dodoma. https://t.co/CQbd4A2W95