Analyse @voiceofbongo's tweets
@voiceofbongo
| 64,033 followers
"Tumechoka Taifa hili unalima pamba unaisafirisha kama malighafi, halafu wakishatengeneza nguo wanazivaa wanakuletea mitumba wakati pamba ni yako. Sisi tunataka tukilima pamba tunaichakata hapa zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza." -Rais @MagufuliJP
#VoBUPDATES https://t.co/Sm6Nv6WrxD
#VoBUPDATES https://t.co/Sm6Nv6WrxD