Analyse @Awamuyatano's tweets
@Awamuyatano
| 14,434 followers
"Nilipoingia madarakani ni Vijiji 3,000 tu vilikuwa na umeme. Katika kipindi cha miaka mitano tumepeleka umeme zaidi ya Vijiji 9,402. Kwa hiyo, vimebaki Vijiji 3,000. Nikafikiria nikichukua miaka 5 na CCM yangu vile vijiji vichache vitanishinda?" - Rais @MagufuliJP https://t.co/qSMt7aDRax