Analyse @BestaMlagila's tweets
@BestaMlagila
| 25,202 followers
"Mimi na @SuluhuSamia (Mgombea-mwenza) tutafanya kampeni za ustaarabu sana. Tutaheshimu watu wote na naamini watu wa vyama vyote watatupigia kura kwa sababu maendeleo hayana Chama." - Rais @MagufuliJP https://t.co/npLWHRiaQR