Analyse @Awamuyatano's tweets
@Awamuyatano
| 14,434 followers
Mgombea Mwenza kwa Tiketi ya @ccm_tanzania Makamu wa Rais @SuluhuSamia akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020. https://t.co/dafsCOW7G7