Analyse @TasmiTanzania's tweets
@TasmiTanzania
| 1,162 followers
@HusseinBashe Habari Mh. Waziri @HusseinBashe
Kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya wakulima 8/8 shirika letu la Tanzania Smart Minds Organization (TASMI) limeandaa kampeni ya mtandaoni ya kuhamasisha vijana kujihusisha na shughuli za kilimo ili kukuza uchumi wao na taifa letu #KilimoFursa https://t.co/l1RBwo0PYJ