Analyse @jenniewtw's tweets
@jenniewtw
| 3,289 followers
Kesho ni tar 8/8 ni siku yetu maalumu ya kudai #TumeHuruYaUchaguzi hivyo;
Tunapendekeza iundwe Tume Huru ya Uchaguzi kwa maana ya Tanzania Independent Electoral Commission (TIEC) ambayo itawekewa utaratibu mpya wa uteuzi kuwapata wajumbe wake. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/zhagENJTkr