Analyse @Halima_J_Juma's tweets
@Halima_J_Juma
| 1,862 followers
Tunahitaji Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yenye uwezo wa kuratibu na kusimamia uchaguzi unaokidhi matakwa ya sheria na mikataba mbalimbali ya kikanda na kimataifa, tume itakayowezesha uchaguzi huru, wa wazi na wa haki. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/AyRa28xBjR