Analyse @IdrisSultan's tweets
@IdrisSultan
| 1,434,880 followers
Nakumbuka kuna some Tv station nilipowapelekea DANGA kabla hata sijawaletea nyinyi, walisema ni kali ila watanzania bado hawana uelewa mkubwa kuweza kuielewa. Inahitaji watu wa maisha flani ya juu etc... Kwahiyo kuna msemaji wenu kumbe. https://t.co/XXwUUppZNm