Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Vifungu vya Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kifungu cha 45(2) na kifungu cha 44 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, vinaruhusu mgombea kupita bila kupingwa ikitokea ameteuliwa peke yake. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/aizoovWh5f