Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
“Oktoba 2020 nchi yetu itafanya uchaguzi mkuu, zoezi la uchaguzi ni muhimu kwa nchi yoyote inayofuata misingi demokrasia, Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu unafanyika katika mazingira ya amani, uhuru na haki.” @MagufuliJP #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/51JxDQ4i3N