Analyse @mkulimamakini's tweets
@mkulimamakini
| 17,951 followers
Kilimo cha mkataba ni kilimo kinachojumuisha uzalishaji wa mazao mbalimbali yanayozalishwa kwa msingi wa makubaliano kati ya mnunuzi na wazalishaji.
Wakati mwingine mnunuzi huelezea ubora unaohitajika na bei, huku mkulima akihitajika kukubaliana
#ElimikaWikiendi https://t.co/JUEsEnPe2B
Wakati mwingine mnunuzi huelezea ubora unaohitajika na bei, huku mkulima akihitajika kukubaliana
#ElimikaWikiendi https://t.co/JUEsEnPe2B