Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Je, Wajua? Hata kama utapata dalili za magonjwa kadhaa ya kuambukiza bado unaweza kumnyonyesha mtoto wako. Fuata tahadhari hizi hapa chini:
? Vaa barakoa wakati wa kunyonyesha
? Nawa mikono yako kwa sabuni na maji kabla na baada ya kuwashika watoto
#ElimikaWikiendi https://t.co/IiZSDcfJlS
? Vaa barakoa wakati wa kunyonyesha
? Nawa mikono yako kwa sabuni na maji kabla na baada ya kuwashika watoto
#ElimikaWikiendi https://t.co/IiZSDcfJlS