Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Wanawake wanapofahamishwa & kuungwa mkono kwenye masuala ya unyonyeshaji, faida huenea kwa watoto wao, kati yao na kwenye jamii kwa ujumla. Kwa kuunga mkono suala la unyonyeshaji, Tunaweza kuhakikisha kuwa kila mtoto ana mwanzo bora wa maisha. #WikiYaUnyonyeshaji #ElimikaWikiendi https://t.co/rXdf5OHUUd