Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Haki Kiganjani ni mfumo wa kidigitali wa kuripoti matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu. Kupitia mfumo wa huu, mtu yeyote mwenye simu au kompyuta anaweza kuripoti tukio lolote la ukiukwaji haki kutoka mahali popote nchini Tanzania.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/HZF5Ihly3k
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/HZF5Ihly3k