Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Mfumo wa Haki Kiganjani ulianzishwa mahsusi kukabiliana na changamoto za kimiundombinu na utendaji katika kufikia huduma za haki. Mfumo huu unamwezesha mtu asiyeweza kuvifikia vyombo mbalimbali kutoa taarifa kwa njia ya mtandao.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/bnvP8uvAjJ
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/bnvP8uvAjJ