Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Mfumo wa @HakiKiganjani pia unamsaidia mtu aliyekumbana na changamoto ya kimfumo kutoa taarifa. Mfano ukatili unapotokea katika familia na familia kujaribu kuficha au mtu anaporipoti tukio katika mamlaka na mamlaka kupuuza.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/0DuOJCXkWI
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/0DuOJCXkWI