Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Haki Kiganjani kwa njia ya SMS: Kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) unaweza kutoa taarifa za tukio la ukiukwaji wa haki za binadamu. Unachopaswa kufanya ni kuandika ujumbe kuhusu tukio hilo na kutuma kwenda namba 0699 695 486.
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/6VRKEoiqA7
#ElimikaWikiendi #HakiKiganjani https://t.co/6VRKEoiqA7