Analyse @KumbushoDawson's tweets
@KumbushoDawson
| 187,977 followers
Hakuna haja ya kuwepo zuio la kutoruhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa mahakamani, kwa sababu kama makamishina na watendaji wa Tume watajua kuwa tume inaweza kushtakiwa na kuhojiwa watafanya maamuzi yao kwa kuzingatia haki. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/pPzhaeUXiJ