Analyse @mkulimamakini's tweets
@mkulimamakini
| 17,951 followers
Mwisho kilimo cha mkataba kina manufaa endapo kitaboreshwa zaidi kwa kuwashirikisha wadau wakiwemo serikali ambao watasaidia kuboresha mikataba na kuifuatilia kwa karibu endapo inawanufaisha walengwa. Kutoka @mkulimamakini tunakutakia sikukuu njema ya nane nane.
#ElimikaWikiendi https://t.co/usRtYcz6Ps
#ElimikaWikiendi https://t.co/usRtYcz6Ps