Analyse @lifeofmshaba's tweets
@lifeofmshaba
| 416,678 followers
Serikali iweke mazingira yanayoweka misingi ya taasisi na mifumo imara kwa ajili ya chaguzi huru na haki, kama chama kilichoko madarakani kimefanya kazi kama inavyotakiwa kitachaguliwa katika mazingira hayo na kitakuwa na uhalali zaidi wa kuongoza wananchi. #88Nyeupe https://t.co/xaRDxOJH8r