Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Umuhimu mkubwa wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi ni kuwajengea wananchi imani juu ya usimamiwaji wa maamuzi ya kura zao ambao utapelekea ongezeko la ushiriki wa wananchi katika kuchagua viongozi wao. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/Z61Y1Zh0c7