Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
“Tunahitaji tume huru ambayo watendaji wake wakuu katika ngazi za halmashauri hawatakuwa wakurugenzi, tunahitaji mchakato wa uchaguzi ambao utatoa mazingira kwa wagombea binafsi tunahitaji mazingira ya kiuchaguzi ambayo yatakuwa ‘haki’.” #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/NW2JsHuBTv