Analyse @ringia_adelah's tweets
@ringia_adelah
| 8,666 followers
6. Master bedroom
Wanawake wengi wamekua wakipenda sana master bedroom zao ziwe kubwa kiasi kwamba wanaweza kuwa na closet inayotosha (as wanawake wana nguo nying sana na vitu vingi ukilinganisha na wanaume). Wakati wa design kati ya vitu muhimi mwanamke anavyoulizia ni hili https://t.co/4KEdM7BN3f