Analyse @IsmailJussa's tweets
@IsmailJussa
| 132,708 followers
Leo ni #88Nyeupe. Watanzania hatutanyamaza hadi tumepata #TumeHuruYaUchaguzi. Njia pekee ya kuhakikisha Uchaguzi huru, wa haki na unaoheshimika ni kuwa na #TumeHuru kwa maana ya Tanzania Independent Electoral Commission (TIEC) na Zanzibar Independent Electoral Commission (ZIEC). https://t.co/IQtRkq9trU