Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
#ZanzibarLivesMatter sioni waswahili tukiumizwa na mambo yanayoendelea Zanzibar. Raia wanakutana na risasi za moto hadharani na tumeamua kubaki kimya tukisubiri hashtag za wamarekani na wazungu na wanaija?? Tuoneshe umoja wetu. #ZanzibarLivesMatter https://t.co/OdkI5p9YSg