Analyse @HilmiHilal88's tweets
@HilmiHilal88
| 19,934 followers
Naungana na viongozi wangu katika maamuzi haya ya kuyakataa MATOKEO ya uchaguzi ulokosa sifa za UHALALI na HAKI katika ngazi zote. Naamini huu ni mwanzo mzuri wa kuipigania demokrasia, uhuru na haki za Wananchi. Pia naungana nao kulaani matendo ya kishenzi na mauji dhidi ya RAIA. https://t.co/hFGqvJGugM