Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa @ccm_tanzania, @hpolepole amesema Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, @DrHmwinyi ataapishwa katika viwanja vya Amani, Novemba 02 siku ya Jumatatu huko Zanzibar. https://t.co/P364rlnqnL