Analyse @SimbaSCTanzania's tweets
@SimbaSCTanzania
| 1,513,717 followers
Perfect Chikwende rasmi ni Mwekundu mwenzetu ?
Chikwende ambaye ni raia wa Zimbabwe anacheza nafasi ya ushambuliaji.
Tunasajili kwa ajili ya malengo makubwa ya klabu hii kubwa na hiyo ndio maana ya NEXT LEVEL.
Karibu kundini Chikwende 'BULL' #NguvuMoja https://t.co/aDfqCnT8V3