Analyse @kivaya_'s tweets
@MKShujaaz #ShujaazTalk kunakuwaga na so many challenges mwanzo first-time young parents and pia kwa watoi wenye bado hawajafikia 6 months. Mtoi ana need saana breastfeeding and hii itakuwa a huge challenge. Mother naye kuweza ku concentrate classes itakuwa pia hard juu ya kufikiria mtoi.