Analyse @Nipashetz's tweets
@Nipashetz
| 204,262 followers
#VIDEO Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa/https://t.co/Lg3uD69C0Y https://t.co/RHItdSzkdc