Analyse @somathreads's tweets
@somathreads
| 16,973 followers
#jewajua??
Mwaka 2013 Mwanaume Mmoja Nchini China Alilipa Faini ya Pesa Yuan 10,000 Sawa na USD 1,600 au TZS 3.7 Milioni kwa Kosa la Kumtukana Mwanamke Wakiwa Kwenye Mgahawa Mmoja. Jamaa Aliilipa Pesa Yote kwa Sarafu,Ilibidi Wafanyakazi 18 wa Benki Watumie Siku Nzima Kuzihesabu. https://t.co/OE8s8VfXcd