Analyse @TweveDevota's tweets
@TweveDevota
| 80,541 followers
Saa 3:00-4:00 asubuhi hii @SemaTanzania watakuwa wakizungumzia ulinzi wa mtoto mtandaoni. Kama unamaswali usikose kuyauliza kupitia ukurasa wao wa @SemaTanzania ndani ya jukwaa la @ElimikaWikiendi #Malezi https://t.co/GJQ0oca2QX