Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Usisambaze picha za unyanyasaji wa kingono kwa watoto hata kwa minajili ya kuwaonya wazazi ama kuelimisha jamii. Mara nyingi tumeona picha na video za watoto wakifanyiwa ama kuhojiwa kuhusu unyanyasaji wa kingono zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/NB5jqmpBO6
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/NB5jqmpBO6