Analyse @SemaTanzania's tweets
@SemaTanzania
| 27,902 followers
Una habari?
Sheria ya mtoto inakataza pia mtu kumtumia mtoto katika maonesho ya harusi, maonesho ya mitindo ya nguo au maonesho mengine yoyote yanayofanana na hayo wakati wa usiku. Hili tunakuachia, vipi linafuatwa na washereheshaji nchini?
#Malezi
#ElimikaWikiendi https://t.co/tEG602CQto