Analyse @VwalaViola's tweets
@VwalaViola
| 15,242 followers
Unakumbuka ulipokuwa shule, wanafunzi wengi waliofanya makosa na kuagizwa wawaite wazazi, walikodi watu waigize kama wazazi wao. Hivi shida ilikuwa wazazi wakali au hofu ya kuvunja uaminifu ambao wazazi waliweka juu yao? #Namlinda https://t.co/GWTC8S456q